Mbunge wa Nanyamba, Abdallah Chikota ameishauri serikali kutoa kibali cha ajira ya walimu na watumishi wa afya ili kupunguza upungufu mkubwa uliopo katika sekta hizo.
Chikota ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia taarifa ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii katika kikao cha Bunge kilichofanyika bungeni Dodoma Februari 10, 2022.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
Post a Comment