Featured

    Featured Posts

GAZETI LA ZANZIBAR LEO LATIMIZA MIAKA 20, RAIS DK. MWINYI AZINDUA MUONEKANO WAKE MPYA

Ukurasa wa kwanza wa gazeti la Zanzibar Leo la leo Jumapili, Februari 13, 2020 ambao upo katika muonekano mpya wa gazeti hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa muonekano mpya wa Gazeti la Zanzibar Leo wakati wa  sherehe ya kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi  Mwanzilishi wa Gazeti la Zanzibar Leo Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume katika sherehe ya kutimia miaka 20 ya gazeti hilo, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake  katika sherehe ya kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake, katika ukumbi Hoteli ya Golden Tulipl Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar, jana jioni.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo  Nd,Ali Haji Mwadini   katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar(katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Dkt. Ali Mwinyikai  muanzilishi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi  ya Cheti aliyekuwa mjumbe wa bodi Bw.Said Salim katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar (katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi  Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita  katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita  katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo  tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume ambaye ni muanzilishi wa Gazeti la Zanzibar Leo akiangalia muonekeno mpya wa gazeti hilo baada ya uzinduzi uliofanywa na  Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika sherehe ya kutimia miaka 20 ilizofanyika  katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanziba
Baadhi ya Waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo  tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.

Baadhi ya Waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo  tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana