Featured

    Featured Posts

MBUNGE MTENGA: NGORONGORO INATEKETEA KWA SABABU YA KAYA NYINGI NA MIFUGO MINGI+video

Mbunge wa Mtwara Mjini, Hassan Mtenga akichangia taarifa ya mwaka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utali ambapo pamoja na mambo mengine, amesema kuwa Hifadhi ya Ngorongoro inateketea kwa sababu ya uwepo wa kaya nyingi na mifugo mingi na kudai kwamba kuna vitu vinafichwa ikiwemo watu kuuawa na simba na kuzikwa usiku lakini hawasemi.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana