Featured

    Featured Posts

WAZIRI MABULA BAADA YA KUAPISHWA ATOA MAAGIZO MAZITO WIZARA YA ARDHI+video

Waziri wa Ardhi, Nzumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula akipongezwa na maafisa wa  wizara hiyo katika Makao Makuu ya Wizara katika Mji wa Kiserikali wa Mtumba baada ya kuapishwa na Rais Samia kushika wadhifa huo  Ikulu Chamwino, Dodoma Februari 9, 2022.
Dkt Mabula akizungumya katika kikao na menejimenti ya wizara hiyo.

Dkt Mabula akifurahia zawadi ya kadi aliyopatiwa  na wajumbe wa menejimenti
Waziri Mabula akiwa na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja
Waziri Mabula (wa pili kushoto) akiwa na Naibu Waziri, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Allan Kijazi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu.

Akiwa na baadhi ya maafisa wa wizara hiyo

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mabula akitoa maagizo hayo.....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana