Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO UBELGIJI NA LUXEMBOURG, AKIWA JIJINI BRUSSELS, NCHINI UBELGIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kikao na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg, akiwa Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.
 
Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg, wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokutana na akizungumza nao akiwa Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.
Baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg, wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokutana na akizungumza nao akiwa Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.
Baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg, wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokutana na akizungumza nao akiwa Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg, baada ya kuzungumza nao, akiwa Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg, ambao walihudhuria kikao hicho, Jijini Brussels nchini Ubelgiji, jana, Februari 18, 2022. (Picha na Ikulu).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana