Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA ASHIRIKI KIKAO KAZI CHA WAKUU WA MIKOA KUHUSU MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NCHINI JIJINI DODOMA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi nchini leo tarehe 08 Februari, 2022. Wengine katika picha ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla

 

 Wakuu wa Mikoa, Mawaziri pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwa katika Kikao Kazi cha Wakuu hao wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi kilichofanyika leo Februari 8,2022  Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kikao cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Mawaziri pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakati wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi kilichofanyika leo Februari 8,2022  Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea kwa niaba yake Bango lenye wa Anwani ya Makazi ya Ofisi ya Rais, Ikulu mara baada ya kuzungumza katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi kilichofanyika leo Februari 8,2022 Jijini Dodoma

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana