RATIBA YA MAZIKO YA AL-MARHUM SEIF OMARY AKIDA
Jumuiya ya Watanzania New York na Vitongoji vyake kwa ushirikiano na Jumuiya ya Watanzania Washington DC inatangaza Maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York (NYTC) Mr. Seif Akida ambayo yatafanyika siku ya Jumatano Feb 9, 2022
Mahali: Al Firdaus Memorial Gardens
3845 New Design Rd,
Frederick, MD 2703
Saa 7 mchana (1.00PM)
Mr. Akida amewahi kuwa Mwenyeketi wa NYTC, na alikuwa Mwenyekiti wa CCM tawi la New York. Mr. Seif Akida atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa kwenye Jumuiya kwa kujitoa kwake kwa hali na mali.
Kama ilivyo desturi yetu ya kufarijiana kwenye kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na kiongozi wetu. Tunaweza kuwafariji wanafamilia moja kwa moja:
SALIM AKIDA- 917 402 6742
JUMA LIPAKI- 646 620 0971
MWAMOYO HAMZA 301 922 0618
Kwa Wanajumuiya watakaopenda kutoa rambirambi zao wanaweza kutumia;
ZELLE: 646 359 2367:Gaston Mkapa
CASHAPP: 646 359 2367
https://ift.tt/rmzPE9w
Innaa Lilaahi Wainnaa Ilayhi Raajiuun
IMETOLEWA NA
NYTC-LEADERSHIP:
Post a Comment