Featured

    Featured Posts

SERIKALI YAKUBALI OMBI LA MWANYIKA KUWAPATIA WACHIMBAJI WADODO WA MADINI MAFUNZO, MAENEO NJOMBE+video



 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji serikali bungeni kuwa ni lini wachimbaji wadogo Njombe watasaidiwa? Serikali imejibu kuwa maeneo yaliyopimwa watagawiwa pamoja na kupatiwa mafunzo.

Mwany aliuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Februari 16.22.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana