Featured

    Featured Posts

WIKI YA UBUNIFU (MAKISATU) KUFANYIKA MIKOA 17 NA ZANZIBAR+video


 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda pamoja na kutaja mafanikio makubwa waliyopata kupitia Maadhimisho mbalimbali ya Wiki ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) amesema kuwa tangu waanze maadhimisho hayo, wamefanikiwa kuibua na kutambua wabunifu wachanga 1,785.

Mkenda ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu katika mkutano uliofanyika jijini Dodoma Februari 16, 2022.



Naibu Waziri, Omar Kipanga akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.

Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Sedoyeka akitoa shukrani.



Sehemu ya wanahabari maafisa

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA




IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana