Featured

    Featured Posts

SIMANZI ZATAWALA WAKATI WA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU MWELE DODOMA+video


 

Vijana wa CCM wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu Mwele Malecela wakitoka nao katika Kanisa la Anglikana jijini Dodoma  ulipoagwa kuupeleka kwenye gari tayari kusafishwa kwenda Mvumi Mission kwa mazishi.
Mwili wa marehemu Mwele ukitoka kanisani kwenda kupakiwa kwenye gari maalumu.





Waziri wa Katiba na Sheria , George Simbachawene akifarijiana na waombolezaji wengine katika viwanja vya Kanisa la Anglikana 

Waziri wa Nchi, Ofis ya Rais, George Mkuchika (kushoto)  akizungumza jambo na William Nchimbi.

Baadhi ya waombolezaji wakielekea kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mwele.
Baba wa marehemu Mwele, Mzee Samwel Malecela na Mkewe Anna Kilango wakiwa na huzuni wakati wa kuaga mpendwa wao.


Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye (kushoto) akiwa katika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Mwele.
Waombolezaji wakipita kuaga mwili wa marehemu Mwele.







Jeneza lenye mwili wa marehemu Mwele likiingizwa kwenye gari maalumu tayari kwa kusafirishwa kwenda Mvumi kwa mazishi.
Gari maalumu lililobeba jeneza la mwili wa marehemu, Mwele  likondoka katika Kanisa la Angilikana jijini Dodoma tayari kwa msafara wa kuelekea Mvumi Mission kwenye mazishi.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri wakati wa kuaga mwili wa marehemu Mwele jijini Dodoma...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana