Featured

    Featured Posts

WABUNGE, MAWAZIRI WASEMA MAMBO SAFI HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA+video

 

Baadhi ya Wabunge na mawaziri wameifagilia Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa kwa utoaji wa huduma nzuri na kuwa na vifaa tiba vya kisasa. 

 Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti na viongozi hao wakati wa Kliniki ya upimaji wa afya iliyofanyika kwa siku tano katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana