Featured

    Featured Posts

WAZIRI MKENDA: KILA WALIMU WAWILI WA VYUO KUTUMIA KOMPYUTA MOJA BADALA YA WALIMU 28+video

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akikagua kompyuta za mezani na mpakato 300  kabla ya kuanza kuzigawa kwa wakuu wa Vyuo vya Elimu nchini katika nhafla iliyofanyika katika ofisi ya wizara hiyo jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Omary Kipanga.
Waziri Mkenda akigawa kompyuta hizo kwa wakuu wa vyuo.







Waziri Mkenda, Naibu Waziri Kipanga wakiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa vyuo baada ya kuwagawia kompyuta hizo.


PICHA  ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri wakati wa hafla hiyo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI WA BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana