Featured

    Featured Posts

NAIBU WAZIRI KUNDO ALITAKA JESHI LA POLISI KUELIMISHA JAMII MAKOSA YA KIMTANDAO KUPUNGUZA UHALIFU+video


Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi  Mathew Kundo amesema kuwa uwekezaji mambo ya tehama katika Jeshi la Polisi ni jambo la lazima ili liendane kasi ya mabadiliko ya teknolojia  hiyo duniani kwa lengo la kujiandaa kukabiliana na wahalifu mitandaoni.

Kundo ameyasema hayo alipokuwa akizindua mafunzo  endelevu kwa maafisa wa jeshi hilo jijini Dodoma leo Februari 21, 2022, ambapo ameliomba Jeshi la Polisi kusaidia kuielimisha jamii kuhusu makosa kimatao ili kupunguza uhalifu nchini.

Baadhi ya washiriki wakiwa katika mafunzo hayo.



Kundo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo pamoja na wato amafunzo.

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri Kundo akitoa maagizo hayo,,,,


IMEANDALIWA NNA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana