Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA KIKOSI-KAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIS YA VYAMA VINGI VYA SIASA, LEO IKULU, DODOMA    

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi hicho mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 12 Machi, 2022, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.PICHA NA IKULU

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana