WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE LA TANZANIA AMBAO NI WAJUMBE WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) WASHIRIKI KIKAO CHA 33 CHA JUKWAA LA UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE DUNIANI
Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo, machi 20, 2022, katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano mjini Bali, Indonesia.
Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani (IPU), Roba Putri akiongoza kikao cha 33 cha Jukwaa hilo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022.
Post a Comment