Featured

    Featured Posts

WAZIRI MHAGAMA: HATUTAONA AIBU KUMCHUKULIA HATUA KALI MTU YEYOTE ATAKAYECHEZEA MIFUMO YA TEHAMA YA SERIKALI +video

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema kuwa katika mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan imeanzishwa mifumo mbalimbali ya Tehamai inayosaidia kurahisisha utendaji kazi.

Mhagama ametoa onyo kwa watendaji na wataalam kwamba watakaojaribu kuichezea mifumo hiyo watachukulia hatua kali za kimaadili na kisheria. Ameielezea mifumo hiyo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Machi 16, alipokuwa akitangaza mafanikio ya Rais Samia mwaka mmoja tangu ashike madaraka Machi 19, 2022.

Waziri Mhagama akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.

Baadhi ya watendaji wa wizara hiyo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mhagama akielezea kuhusu kazi za mifumo hiyo na kutoa onyo kwa watakaojaribu kuchezea mifumo hiyo.....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana