Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa ajenda ya maboresho ya elimu ni ya Tanzania na Dunia kwa ujumla.Mkenda ameyasema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa kupokea maoni ya viongozi wa dini na wamiliki wa shule binafsi jijini Dodoma leo Machi 30,2022, kuhusu uboreshaji wa sera ya elimu na mitaala.
Mwenyekiti wa Kamati ya maridhiano, Alhad Mussa akiomba dua wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Askofu Methodius Kilaini akisali kuombea mkutano huo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Janeth Komba akielezea hatua waliyofikia ya kukusanya maoni kuhusu uboreshaji wa mitaala ya elimu.
Salma Kikwete ambaye ni Mbunge wa Mchinga, Mke wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa katika mkutano huo.
Kamishina wa Elimu Tanzania Dkt.Lyabwene Mtahabwa akifafanua jambo wakati wa mkutano huo na kueleza kwamba hadi sasa wamekusanya maoni zaidi ya 100,000 ya uboreshaji wa mitaala.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mkenda akifungua mkutano huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment