Featured

    Featured Posts

BABA HALISI AHIMIZA UZAO NA MAKUHANI KUJIPATIA VITABU VYA SAFARI YA UZAO WA MUNGU BABA

Moja ya Matukio aliyofanya Baba Halisi wakati wa Sherehe ya Kanisa Halisi la Mungu Baba Kusimika Hatma ya Baba Halisi na Mama Halisi, iliyofanyika Jumapili, 12 Adari,1(Aprili 10, 2022), ilikuwa ni kuwatangazia Uzao na Makuhani wa Kanisa hilo, Vitambu vya Safari ya Uzao wa Mungu Baba, ambavyo ni machapisho ya Sauti alizopokea kwa nyakati tofauti na kuziandika.

Pichani, Baba Halisi akionyesha Vitambu hivyo na kuwahimiza Makuhani wa Kanisa Halisi na watu wengine kuvinunua kwa kuwa vimeandikwa mambo makubwa yanayotakiwa kila mtu ayajue.

Bei ya vitabu hivyo kwa pamoja kuanzia Vol. 1 hadi Vol. 5  ni sh. 70,000 na Vinapatikana Makao Makao Makuu ya Kanisa hilo (Moyo Mmoja), Tegeta Namanga Jijini Dar es Salaam.

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana