Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka, ameishauri serikali pamoja na mabo mengine kuhakikisha wanaweka vifaa tiba katika Zahanati na Vituo vya Afya ambavyo ujenzi wake umekamilika ili vianze kufanya kazi katika jimbo hilo lililopo wilayani Chunya, Mbeya. Pia ameelezea upungufu wa walimu katika shule nyingi zilizojengwa na hata kuwajengea nyumba za kuishi
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue mambo mengi aliyoyachangia.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment