Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke ameishauri serikali kuifungua mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Kagera kwa kuinganisha umeme na gridi ya Taifa lakini pia ameipongeza serikali na hasa waziri mkuu kuhamasisha wananchi kulima zao la michikichi mkoani Kigoma kiasi kwamba hivi sasa matunda yameanza kuonekana.Genzabuke alikuwa anachangia majadiliano ya makadilio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Aprili 12, 2022 bungeni Dodoma.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment