Featured

    Featured Posts

WAZIRI BITEKO: SAJILI HARAKA CHAMA CHA MADALALI WA MADINI MUISAIDIE SERIKALI KUDHIBITI UTOROSHAJI MADINI+video



Waziri wa Madini, Dotto Biteko amewataka madalali wa madini nchini kusajili haraka chama chao kiwe na nguvu ili kiaminiwe na Serikali pamoja na kusaidia kudhibiti utoroshaji wa madini. Biteko amesema hayo alipokutana na viongozi wa CHAMATA na kufanya nao mkutano katika moja ya ofisi za Bunge, jijini Dodoma Aprili 14, 2022 ambapo walieleza changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wanapouza madini.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wanyabiashara wa Madini (Mawakala wa Madini-Brokers) Tanzania (CHAMATA),Jeremiah Kituyo akisoma risala mbele ya Waziri wa Madini, Biteko  na kuelezea changamoto wanazokabiliana nazo.
Viongozi wa CHAMATA na maofisa wa Wizara ya Madini wakiwa katika mkutano huo
Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Bahati Makaya akielezea baadhi ya changamoto

Augustino Samsoni mjumbe wa chama hicho
Saad Ramadhani kutoka Tabora
Peleus Kyakalaja kutoka Dar es Salaam
Ali Amour Mwenyekiti wa CHAMATA  Mkoa wa Dodoma.
Thomas Kawawa Katibu Mkuu CHAMATA
Wambura Mseit kutoka Mkoa wa Mara


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri kwenye mkutano huo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana