Featured

    Featured Posts

MAMBO YA BUNGENI DODOMA APRILI 21,2022

Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge wakiwahi kuingia bungeni kuwahi mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Aprili 21, 2022. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Manonga, Seif  Gulamali, Mbunge wa Katavi, Isack Kamwelwe na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Oliver Semuguruka.


Mbunge wa Kigamboni, Dkt Faustine Ndugulile
Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika.
Mbunge wa Viti Maalumu, Munde Tambwe na Yahya Masare.


Mbunge wa Viti Maalumu, Bahati Ndingo akiwa na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Charahani


Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko



Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt Alice Kaijage
Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Shinyanga,  Lucy Mayenga.


Wabunge wa Viti Maalumu Esther Buya na Halima Mdee.
Mbunge wa Msalala, Iddi Kassim
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Judith Kapinga

 Mbunge wa Viti Maalumu, Mwanahamisi Ulenge na Mbunge wa Monduli, Fred Lowassa.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana