Mbunge wa Nachingwea, Amandus Chinguile ameishauri serikali kuipa kipaumbele cha ajira mikoa ya mipakani ikiwemo wilaya ya Nachingwea yenye upungufu mkubwa wa watumishi na hata ikiwezekana kuajiri wasomi wa wameo hayo.
Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora bungeni Dodoma Apeili 22,2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chinguile akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment