Featured

    Featured Posts

MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO

 

Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge tayari kuingia  bungeni Dodoma Aprili 19, 2022.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (kushoto) akiwa na wabunge wengine wakiingia bungeni Dodoma.
Waziri wa Madini, Dotto Biteko akiwa na Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima wakiingia bungeni.
Mbunge wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu akiwahi kuingia bungeni.
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Festo Ndugange akiwahi kuingia bungeni.
Mbunge wa Nyang'wale Nassor Amar 
Mbunge wa Liwale, Zuberi Kuchauka
Mbunge wa Viti Maalumu, Hadija Hassan
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga
Mbunge wa Nanyamba. Abdalah Chikota
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro, Shelukindo
Mbunge wa Geita Mjini, Costantine Kanyasu (kulia) na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde
Mbunge wa Moshi Vijijini,Profesa Patrick Ndakidemi

Mbunge wa Viti Maalumu, Naghenjwa Livingstone Kaboyoka


Mbunge wa Viti Maalumu, Bahati Ndingo

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana