Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa CCM Danuel Chongolo walipokuwa wameketi, wakati wa hafla ya mapokezi ya Makamu Mwenyekiti huyo, Jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee, leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wakati wa hafla ya mapokezi aliyofanyiwa Jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee, leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana akiwasalimia wana CCM wakati wa hafla ya mapokezi aliyofanyiwa Jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee, leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba alipowasili kwenye hafla ya mapokezi aliyofanyiwa Jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee, leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Abdulrahman Kinana akiwasalimia baadhi ya Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, alipowasili kwenye hafla hiyo.
Wana CCM wakiwa kwenye shangwe wakati wa hafla hiyo.
Wana CCM wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wana CCm wakiwa kwenye hafla hiyo.
Post a Comment