Featured

    Featured Posts

MBUNGE KAIJAGE AIOMBA SERIKALI KUONGEZA MISHAHARA YA WATUMISHI KUZINGATIA HALI HALISI YA MAISHA+video

 Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt Alice Kaijage akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ambapo pamoja na mambo mengine ameiomba serikali kuongeza mishahara ya watumishi hasa kwa kuzingatia hali halisi ya maisha ya sasa.

Ametoa ombi hilo leo Aprili 21,2022 bungeni Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Kaijage akitoa mchango wake huo....

  


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana