Mbunge wa Kyela, Ali Jumbe Mlagila ametishia kushikilia shilingi mshahara wa Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa hadi atakapopata majibu sahihi ya kwa nini fedha za maendeleo za miundombinu hazipelekwi katika jimbo hilo.
Mlagila alitoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya TAMISEMI bungeni Dodoma Aprili 19, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Jumbe akihoji jambo hilo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment