Featured

    Featured Posts

ASENGA: UZINDUZI WA ROYAL TOUR MAREKANI, RAIS SAMIA AMEPIGA KWENYE SOKO LA DUNIA LA UTALII+video


Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga amesema kuwa kitendo cha Raisw Samia Suluhu Hassan kwenda kuzindulia Marekani Filamu ya Royal Tour amepiga kwenye soko la dunia la utalii. Ametoa pongezi hizo alipkuwa akizungumza na vyombo vya habari kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 19, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Asenga akielezea kupitia Royal Tour nchi itakavyonufanika kichumi...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana