Featured

    Featured Posts

MBUNGE MWANYIKA APIGANIA BUNGENI UKARABATI BARABARA YA MAKAMBAKO-SONGEA+video


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika ameoji bungeni ni lini Serikali itaanza kuifanyia ukarabati mkubwa Barabara Kuu ya Makambako hadi Songea ambayo kwa hivi sasa iko kwenye hali mbaya.Mwanyika amehoji hilo alipouliza swali kwa wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Aprili 5, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akihoji swali hilo bungeni huku akijibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana