Featured

    Featured Posts

MBUNGE KAWAWA ATAKA UUNDWE MPANGO MKAKATI WA KUWAPATA WATAALAM SEKTA YA AFYA+video

Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa ameipongeza serikali kutangaza ajira ya wataalam wa afya na elimu 32,000 lakini pia amesema kuwa idadi hiyo haitoshi inatakiwa kuunda mpango mkakati wa kuwapata wataalam wengine zaidi wa kutoa huduma katika sekta hizo nyeti.Amesema hayo alipokuwa akichangia makadirio ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma, Aprili 6, 2022.
 
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Kawawa akitoa ushauri wake huo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana