Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ametoa ushauri wa kizalendo kwa serikali wa jinsi ya kunusuru upandaji bei za mafuta nchini hasa katika kipindi hiki cha vita kati ya Urusi na Ukraine.
Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma Aprili 6, 2022.
Mdau unaoombwa uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Shabiby akitoa mchango wake huo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment