Featured

    Featured Posts

PROF. ABEL MAKUBI AFUNGUA KONGAMANO LA 8 LA KISAYANSI LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI (MUHAS)

  Leo Tarehe 6 Aprili tumefika katika Chuo chetu cha tafiti ambazo zinazofanyika katika maswala ya Kansa ya Damu kama mnavyofaham Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ni mojawapo ya vyuo vimekuwa mstari wa mbele sana katika kutoa Elimu kwa wananchi jinsi ya kujikinga na magonjwa amayo si yakuambukiza ikiwemo kansa. Hayo yamesemwa na

Prof. Abel Makubi mara baada ya Ufunguzi wa Kongamano la 8 la Kisayansi la maswala ya Tafiiti na  Mafunzo lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho  leo Aprili 6. 2022 Jijini Dar es Salaam ambalo lilotanguliwa na zoezi la ukusanyaji Damu Aprili 4, 2022. kutoka kwa wananchi ambapo leo Aprili 6, 2022 ilikuwa ni mawasilisho ya Tafiti mbalimbali za Kisayansi ambayo yamefanyika Ndani na Nje ya Nchi kwa ajili ya kuangalia matatizo mbalimbali yanayohusiana na maswala ya Kansa ya Damu, aliendelea kusema Makubi.

Kwa hiyo leo wameitwa Wananchi mbalimbali wakiwemo wasomi, Mashirika mbalimbali na wananchi wa kawida kuonyeshwa jinsi gani tafiti zetu katika Vyuo vyetu pamoja na Hospitali zetu kubwa zimeweza kutoa matokeo ambayo yanaweza kusaidia kwenda kuboressha miongozo ya kwenda kutibu pia nakuboresha jinsi gani tunaweza kwenda kusimamia wagonjwa wetu katika kuwatambua mapema katika kuwapati elimu dhidi ya kansa. 

Nawashauri wananchi mara waonapo dalili yoyote kama kukohoa damu na tunashauri kila mwaka kwa wanao weza angalau kufanya uchunguzi wa afya yake kila baada ya miezi 6 kwa kila mwaka, Watafiti wamekuwa wakigundua Wananchi takribani Elfu 40 wenye matatizo ya Kansa ya Damu  kwa makadirio hayo natoa wito wangu kwa wananchi tuwe na utatibu wa kuangalia afya zetu kwa hapo Nchini Kansa ya Damu ni ya 3 kwa wingi kwa damu tunazoziona. 

Pia katika Kongamano hili tumeweza kuwatambua wazee waliotoa michango yao hasa katika maswala mazima ya  kansa na kuwazawadia tuzo kwa michango yao hasa kwa maswala mazima ya Kanza ya Damu na mwisho 
Nawashukuru wanachi wote kwa ujumla walioshiriki wakiwemo pia wakuu wa Taasisi wanazo toka. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
       Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Andrea Pembe akizungumza jambo leo Aprili 6, 2022 wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la 8 la Kisayansi la maswala ya Tafiiti na  Mafunzo lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho  leo Aprili 6. 2022 Jijini Dar es Salaam ambalo lilotanguliwa na zoezi la ukusanyaji Damu Aprili 4, 2022.







Prof. Abel Makubi (kulia) akikabidhi Tuzo Mkuu  wa Taasisi ya Tumaini la Maisha na Dkt. wa Watoto wenye Kansa  kwa kutambua mchango wake wa kusidia Watoto wenye kansa hapa Nchini Tanzania. Dkt. Trish  Scanlan 

Mstaafu na Mtaalam  wa  maswala ya Kansa  Mzee  Pius Magesa (kulia) akikabidhiwa Tuzo na  Prof. Abel Makubi wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la 8 la Kisayansi la maswala ya Tafiiti na  Mafunzo lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho  leo Aprili 6. 2022 Jijini Dar es Salaam ambalo lililotanguliwa na zoezi la ukusanyaji Damu Aprili 4, 2022.
Dkt. Bingwa magonjwa ya Kansa Khamza Maunda (kulia) akikabidhiwa Tuzo na  Prof. Abel Makubi wakati wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la 8 la Kisayansi la maswala ya Tafiiti na  Mafunzo lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho  leo Aprili 6. 2022 Jijini Dar es Salaam ambalo lilotanguliwa na zoezi la ukusanyaji Damu Aprili 4, 2022..  Andrea Pembe 

Afisa Uhusiano MUHAS. Hellen Mtui  akizungumza jambo wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la 8 la Kisayansi la maswala ya Tafiiti na  Mafunzo lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho  leo Aprili 6. 2022 Jijini Dar es Salaam ambalo lilotanguliwa na zoezi la ukusanyaji Damu Aprili 4, 2022.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa neno la shukrani
Mkurugenzi Mtendaji Mnazi Mmoja Hospitali ya Zanzibar Dkt.  Msafiri Ladislaus Marijani (kushoto) akimpongeza Mstaafu na Mtaalam  wa  maswala ya Kansa  Mzee  Pius Magesa mara bada ya kukabidhiwa tuzo na Prof. Abel Makubi 





Mhadhiri na Mtafiti Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Dkt. Ahlam Nasser akizungumza na Wanahabari mara baada ya Ufunguzi wa Kongamano la 8 la Kisayansi la maswala ya Tafiiti na  Mafunzo lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho  leo Aprili 6. 2022 Jijini Dar es Salaam ambalo lilotanguliwa na zoezi la ukusanyaji Damu Aprili 4, 2022.

Wadau mbalimbali wa kimsikiliza mgeni rasmi katika Kongamano hilo la 8 la Kisayansi Prof. Prof. Abel Makubi (hayupo pichani).  




author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana