Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameiomba serikali kujenga vituo vya Polisi katika Kata nne katika Jiji la Tanga ili kuimarisha usalama.
Ulenge alitoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Aprili 8, 2022 ambalo alilielekeza swali kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge akiomba ombi hilo huku akijibiwa na Naibu Waziri Sagini....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment