Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Eliezer Feleshi amewaongoza watumishi wa ofisi yake kuwaaga wastaafu katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Aprili 22, 2022.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Eliezer Feleshi (kulia) akimkabidhi zawadi mstaafu Agnes Becon Pilli ambaye alikuwa Katibu Sheria Mwandamizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Eliezer Feleshi akitoa nasaha zake wakati wa hafla hiyo.
Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Onorius Njole akizungumza wakati wa kuwatambulisha wastaafu waliokuwa wakiagwa.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Maura Mwingira akisherehesha hafla hiyo.
Wastaafu Agnes na Msigala wakiburudika kwa muziki.
Ilikuwa ni burudani kwa kwenda mbele.
Wakati wa maakuli
Wakicheza kwaito
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau,nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri katika hafla hiyo....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment