Featured

    Featured Posts

MBUNGE MAGANGA AFANYA MAKUBWA MBOGWE


 Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, mkoani Geita, Nicodemus Maganga amefanya mambo makubwa kuliletea jimbo hilo maendeleo Ndani ya miaka miwili ya ubunge wake haya ni baadhi ya mambo aliyoyafanya;


1.Amechangia Mabati 1,000 Kwajili ya upauaji wa zahanati za Mbogwe ikiwepo Zahanati ya Isebya ,bukandwe ,iponya 


2.Mifuko ya saruji 100 kwajili ya Plasta kituo cha Polisi ilolangulu ,mifuko 50 Ofisi ya kijiji nyambubi ,Mifuko 50 ya saruji Mbogwe sec 


3.Bilioni 1 kwajili ya kujenga kituo cha afya Lulembela kutoka na ziara yake na Mhe naibu waziri Dr Mollel na sasa ujenzi unaendelea


4.Mbunge kukabidhi vifaa tiba kituo cha afya Masumbwe Mfano ICU ventilator, Cardiac monitor, Safety box dispensers vyenye thamani ya Milioni 60 tarehe 7/03.2021


5.Kukabidhi Compyuta 5 na Photocopy Mashine 1 Masumbwe sekondari 


6.Ujenzi wa Barabara  ya lami 1.2KM kutoka Kituo cha afya Masumbwe Kwenda sokon 


7.Milioni 200 kwajili ya kusambaza maji Mbogwe na gari la Mhandisi wa maji Mbogwe tarehe 24.03/2021 Pia usambazaji wa maji kanegere ,kagera  Milioni 597 Mbogwe na kazi inaendelea


8.Mbogwe imekuwa Mkoa wa Kimadini ambawo uliombwa na Mbunge kutoka n Mapato kupanda 


9.ujenzi wa kituo cha afya Bugalagala Kata ya ikobe na ujenzi unaendelea


10.Ujenzi wa Mnara Mbogwe Minara Mbogwe Mnara Mmoja Milioni 320 


11.kachangia Mabati 185 kijiji cha Nsangu Kata ya iponya  kwajili ya zahanati 


12.Milioni Moja kwajili ya ununuzi wa saruji kwajili ya Plasta Ofisi ya kijiji ya kijiji cha Nsangu 


13. Mabati 55 Kumalizia ujenzi wa nyumba ya Mganga Kata ya Iponya  pia shlingi lakimoja  pesa kwajili ya usafiri wa Mawe.


14.Kuchangia Milioni 5 kwajili ya ujenzi wa Stendi ya Lulembela 


15.Ujenzi wa Shule ya Mfano alipendekeza iwekewe Kata ya Bunigonzi tiari Milioni 470 zipo na ujenzi unaendelea itakuwa na (Madarasa nane, Maabara zote ,Compyuta rooms, Maktaba na Matundu ya vyoo 20 


NB Michezo kila kijiji na Kata amechangia vifaa vya michezo kwa kila Kata jezi na Mipira Miwili miwili  na mashuleni pia.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana