Featured

    Featured Posts

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI: NITAHAKIKISHA MIKATABA YOTE INAWASILISHWA BUNGENI KWA MUJIBU WA SHERIA+video

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Eliezer Feleshi akijibu hoja bungeni wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria Aprili 28, 2022, ambapo ameahidi kuwa mikataba yote itakuwa inawasilishwa bungeni na kujadiliwa, kupitishwa kwa mujibu wa sheria.

 Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Eliezer Felesh wakipongezwa na wabunge baada Bajeti ya wizara hiyo kupishwa bungeni Dodoma leo Aprili 28, 2022.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Feleshi ajibu baadhi ya hoja za wabunge...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana