Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Mhagama ameiomba serikali kuiongezea fedha Ofisi ya Taifa ya Mashitaka ili iwe na uwezo wa kuendesha mashitaka mbalimbali nchini.
Ameyazungumza hayo alipokuwa akichangia hoja katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria bungeni Dodoma Aprili 28, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhagama akichangia mjadala huo....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment