Featured

    Featured Posts

NEEMA RUGANGIRA ASABABISHA WAZIRI KUIAGIZA TUME KUREKEBISHA HARAKA SHERIA KANDAMIZI KWA WANAWAKE KATIKA SIASA+video





Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Rugangira amesababisha Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro kuiagiza Tume ya Kurekebisha Sheria kuanza haraka kushirikiana na wadau kurekebisha sheria zisizowatendea haki wanawake katika uwanja wa siasa. Neema akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria Aprili 28, 2022 bungeni Dodoma alitoa ushauri wake kwa serikali kutunga sheria zitakazomtendea haki mwanamke hasa wanapoomba kugombea uongozi katika nyanja ya siasa.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Neema akitoa mchango wake huo...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana