Featured

    Featured Posts

SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti cha kupokea Masuala muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 Aprili 1, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Sillo

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Selemani Kakoso akichangia jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti cha kupokea Masuala muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 Aprili 1, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Viongozi Mbalimbali wa Serikali na Bunge wakishiriki kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti cha kupokea Masuala muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 Aprili 1, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc pamoja na Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein wakishiriki kikao cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti cha kupokea Masuala muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili Bajeti za Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 Aprili 1, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana