Featured

    Featured Posts

ZAIDI YA BILIONI SH. BILIONI 100 ZATENGWA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya  mapitio ya mwelekeo wa kazi za serikali na makadilio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi  ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2022/2023 bungeni Dodoma leo  Aprili 6, 2022. Zaidi ya sh. blioni 100 zimetengwa kwa ajili ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete kabla ya kuhutubia
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Buchosa , Erick Shigongo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  (kushoto) akijadiliana jambo na  Mbunge wa Nanyamba,  Abdalah  Chikota
Waziri Mkuu akijadiliana jambo na Mbunge wa Muhambwe  Dk Florence Samizi.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana