Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini, Hassan Mtenga amesema kuwa kwa jinsi Rais Samia Suluhu Hassan alivyokipa kipaumbele kilimo kwa kukipangia fedha nyingi mwaka huu, wabunge kwa ujumla wao wataipisha bajeti ya kilimo kwa nguvu zote.Mtenga ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya Bunge Dodoma Aprili 5, 2022 ambako wabunge wameanza vikao vya kujadili bajeti ya mwaka 2022/2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip ya video, Mtenga akizungumzia jambo hilo,,,,
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment