Featured

    Featured Posts

VITA YA URUSI, UKRAINE YAZIDI KUPAISHA BEI YA MAFUTA NCHINI+video

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta nchini, kulikosababishwa na vita vinavyoendelea vya Urusi na Ukraine. Bei hiyo mpya ya mafuta ya petroli, Dizeli na ya taa imetangazwa Jumanne Aprili 5, 2022 na Mkurugenzi wa Petroli wa EWURA, Gerald Maganga (pichani)..
Kaimu Mkurugenzi wa Uchumi wa EWURA, Msafiri Mtepa akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Titus Kaguo akifafanua jambo wakati wa mkutano huo na wanahabari.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasliano Wizara ya Nishati Doreen Makaya (kushoto) akihudhuria mkutano huo.


Wanahabari wakiwa makini kusikiliza bei mpya za mafuta zikitangazwa

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi wa Petroli akitanga bei mpya za mafuta....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana