Featured

    Featured Posts

MBUNGE KAMONGA AIOMBA SERIKALI KUJENGA BARABARA KATA NNE LUDEWA AMBAZO TANGU UHURU HAZINA+video

Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Joseph Kamonga ameiomba Serikali ifanye jitihada za kujenga barabara katika Kata nne za Jimbo la Ludewa ambazo tangu Uhuru hazina na wananchi wa eneo hilo hawajawahi ona gari likipita.

Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kwenye viwanja vya Bunge jijijni Dodoma Aprili 5, 2022.
 
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana