Featured

    Featured Posts

NAIBU WAZIRI WA AFYA AWAOMBA WANANCHI KUJITOKEZA KUCHANGIA DAMU


Picha ya pamoja ya Naibu Waziri w afya Dkt. Godwin Mollel pamoja na Wakuu wa Taasisi za Wizara ya Afya, Wataalam wa Afya pamoja na Wakufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).


Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa (kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchangiaji damu katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo Aprili 4, 2022.






Afisa Viwango na Ubora Kanda ya Mashariki Mpango wa Taifa wa Damu Salama. Sam Mduma (kushoto) akizungumza na Madaktari Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).




Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel akimsikiliza kwa makini Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili Prof. Andrea B. Pembe.
Baadhi ya Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Afya na madaktari  wakiwa katika mkutano huo. Kusho ni Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface. 


Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe akizungumza jambo leo Aprili 4, 2022 wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchangiaji damu katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Afisa Uhusiano wa MUHAS, Hellen Mtui akitoa akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchangiaji damu katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Meneja wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Dkt. Magdalena Lyimo akisema jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchangiaji damu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Dkt. Omary Ubuguyu akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchangiaji damu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uchangiaji damu katika Chuo Kikuu cha Afya Shirikirishi Muhimbili kuelekea wiki ya maandalizi ya kongamano kubwa litakalofanyika hivi karibuni
kuzungumzia saratani ya damu ambayo inapunguza kiasi cha damu mwilini.

Tupo katika zoezi la kuzunguuka Kanda zote za Nchi yetu kuhakikisha swala la upatikanaji wa Damu salama na linakuawa si tatizo tena na nikiwapongeza Wanavyuo, Wanafunzi na wananchi kwa ujumla kwa kuitikia na kuwa na hamasa ya kujitokeza kuchangia Damu.

Pia na kuwaomba Watanzania tuendelee kujitokeza kwani damu haiuzwi na tukumbuke kuwa tunawapoteza mama wengi na pia tunapoteza watu wetu kwa ajali aliendelea kusema Mollel huku akiwaomba Wananchi kuendelea kuona umuhimu wa kujitolea kuchangia Damu na iwe historia. 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana