Featured

    Featured Posts

KAMONGA AZIDI KUWAPAMBANIA WA LIGANGA, MCHUCHUMA KULIPWA FIDIA+video

 Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga ameendelea kuwapambania wananchi wa jimbo lake kwa kuiomba serikali kulipa hara fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa viwanda katika machimbo ya makaa ya mawe, chuma ya Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa.

Kamonga ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara bungeni Dodoma Mei 6, 2022.

Aidha, Kamonga ameishauri wizara hiyo kuongeza kasi kudhibiti upandaji holela wa bidhaa nchini ambapo alitoa ushuhuda kwamba aliposhiriki misa ya pasaka kanisani alipata maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu tatizo hilo alitetea kiasi hata cha kutoa machozi lakini hawakumuelewa.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akichangia mjadala huo bungeni....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana