Featured

    Featured Posts

MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO+video

 

Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwahi kuingia bungeni Dodoma kwa ajili vikao vya Bajeti MEI 6, 2022. Kutoka kushoto ni Costantino Kanyasu wa Geita Mjini, Bonna Kimoli wa Segerea na Dkt Faustine Ndugulile wa Kigamboni.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo na wabunge kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.

Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge wakiwahi kuingia bungeni
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Profesa John Pallangyo akiwahi kuingia bungeni huku akiwasalimia wanahabari.
Mbunge wa Tabora Kaskazini, Almas Maige
Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga
Wabunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na Esther Bulaya

Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini na Mbunge wa Viti Maalumu, Agnes Marwa.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula (kushoto) akipewa hongera ya siku ya kuzaliwa kwake  na Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kuona kupitia clip hii ya video wabunge wakiwahi kuingia bungeni.......


MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 

0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana