Featured

    Featured Posts

KUTOKA BUNGENI: SIKILIZA USHAURI WA PROF. MUHONGO KUHUSU UMUHIMU WA BENKI KUU KUWA NA AKIBA YA DHAHABU+video





Tafadhali sikiliza USHAURI alioutoa Prof Sospeter Muhongo siku ya Alhamisi, tarehe 28.4.2022 kuhusu:

*umuhimu wa Benki Kuu kuwa na Akiba ya Dhahabu (Gold Reserves)

*umuhimu wa kukuza uchumi kwa kuchimba na kuuza:
(i) Gesi ya Helium
(ii) Madini adimu yanayohitajika sana ulimwenguni (critical technology metals)

*umuhimu wa uchumi kukua kwa zaidi ya 8% kwa kuwekeza zaidi kwenye Sekta za Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, na kwenye Uchumi wa Gesi.

CLIP/VIDEO ya ushauri ulioutoa Bungeni imeambatanishwa hapa.

Usisahau kutembelea TOVUTI ya Jimbo letu  ambayo ni:
https://ift.tt/dh2yjrX

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
https://ift.tt/dh2yjrX




 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana