Featured

    Featured Posts

WABUNGE WAPENDEKEZA MAREKEBISHO YA SERA, MITAALA YAZINGATIE ELIMU NA UJUZI+video


Waziri wa Elimu, Sayansi  na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wabunge kutoa maoni ya  mabadiliko ya sera na mitaala ya elimu nchini  katika Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Mei 7, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Eliamani Sedoyeka na Mwenyekiti wa Kamti ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo.

Mbunge wa Nyasa,  Mhandisi Stellah Manyanya
Mbunge wa Jimbo la Moshi vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi 
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo
Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa
Mbunge wa Viti Maalumu, Mwalimu Bernadetha Mshashu


Mbunge wa Ubungo, Dkt. Kitila Mkumbo


 Baadhi ya wabunge na wadau wa elimu

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video wabunge wakitoa michango yao.....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana