Featured

    Featured Posts

ULENGE: KAMA NCHI TUAMUE KUTENGA MIAKA 15 KUTENGENEZA KIZAZI MAALUMU KUKIENDELEZA KIELIMU+video

 Mbunge wa Viti Maalumu Mhandisi Mwanahamisi Ulenge akitoa maoni yake katika mkutano wa wabunge amesema kuwa kama nchi inabidi kuamua kutenga miaka 15 ya kutengeneza kizazi maalumu kukiendeleza kielimu.

Pamoja na mambo mengine ametoa maoni hayo wakati wa mkutano huo wa wabunge kuchangia maoni yao kuhusu maboresho ya Sera na Mitaala ya Elimu nchini. Mkutano huo ulioandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ulifanyika katika Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Mei 7, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhandisi Ulenge akitoa maoni yake....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana