Featured

    Featured Posts

SERIKALI YAMJIBU MBUNGE MWAKANG'ATA KUWA INA MPANGO WA KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA RUKWA+video

 


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata amehoji bungeni Dodoma Mei 5, 2022 kuwa ni lini Serikali itaanza ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Rukwa na Kujibiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt Festo Ndugange kwamba serikali iko mbioni kuanza ujenzi huo.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwakang'ata akiuliza swali....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana